Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Muda huu 🏃🏃🏃
🏃🏃🏃🏃
💃💃💃 za kike zinakimbilia njia nisiyoitakaMbona emoj yakiume iyo
Huko kukatiana mahindi kisha baridi liwatoke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]Kwanini Queen Ake Davet [emoji23][emoji23]
wewe mwanamke una tabia za kijingaru baadhi ya nyakati.View attachment 1226964
Muda huu 🏃🏃🏃
😂😂😂wewe mwanamke una tabia za kijingaru baadhi ya nyakati.
nimecheka zaidi ya mwehu
usiwe na wasiwasi my darlingii sitochepuka na dada wa kazi, nakupenda kuliko ninavyoupenda mwili wangu ndio maana nina siku ya tano sijakoga.😂😂😂 View attachment 1226984polepole tusije kukukuta chumbani kwa Dada wa kazi
#Haliyahewasiokabisa
#watutunaogeandaniyasalphet
😀😀😀😂😂😂
#karibuchakulauncle
😂😂😂 hujaoga sababu ya maupendo au uoga wa baridi? Emu nenda kapige hata passport then ukuje nikupe mahindi ya kuchemshausiwe na wasiwasi my darlingii sitochepuka na dada wa kazi, nakupenda kuliko ninavyoupenda mwili wangu ndio maana nina siku ya tano sijakoga.
ndio ujue mwili wangu siupendi zaidi ya mwili wako
hahahahahah, wewe mama G wewe!😂😂😂
#kulikonibabaG
Ukiachwa achika mwanamke[emoji23][emoji23]
Msimu wa mvua huu watu wako busy wanalima
zawadi ya mahindi hainifai kwa sababu meno yangu ya mbele yote yameng'oka kama mbuzi mee aliyechinjwa😂😂😂 hujaoga sababu ya maupendo au uoga wa baridi? Emu nenda kapige hata passport then ukuje nikupe mahindi ya kuchemsha