The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Mlio double pia usiku mwema [emoji18][emoji18]Mlio single usiku mwema
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
πππwengine wanaota usingizini wanatengeneza fedha za ukweli kwa kufanya biashara cha ajabu sisi wengine tukilala tunaota tunakojoa kitandani kama watoto wadogo.
ndio maana nimeacha kulala mpaka muda huu.
Depal bado hujaamka mpaka muda huu?
Duh!Kumbuka hiyoView attachment 1227148
22:00
Muwe na usiku mwema na majukumu mema ' kwa wenye kapozi [emoji125][emoji125]