Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akina kim wanafiki tu nao ni fake fake tu. Walimuibia chyna bwana,baba mtoto wake wa kwanza ndo chyna akenda kwa rob kama kulipiza kisasi
Hahaa rob yamemkuta kwakweli nawaza kile kipind chao cha rob and chyna kama kitakuwepo tena[emoji23] [emoji23] kama namuona kim na nduguze wanavyoshangilia...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona rob kamwaga mboga,ugali na maj ya kunywa kabisa...ila on a serious note,ku expose nude pictures za baby mama wako haijakaa fresh kwakweli...hili nalo ni funzo mana mtu ukikolea unatuma tu mipicha kikinuka ndo hivi tena lol!
 
Hahaha rob hana kifua cha kutunza siri. Anamwaga kila kitu kama mbwai na iwe mbwai hahaha wapenda ubuyu ni kujimung'unyia tu
 
Ila huo sijui ni methali au msemo, utakuwa sio wa 'wahenga'. Wenye madeni wanabadili mpaka njia ya kupita sembuse kulala mlango wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23].... Hata kama yumo ndani anaagiza tu akiniulizia mtu mwambie sipo

Ila kivingine ndio inamanisha mtu huyo yupo tayali kutimua kwa sababu mlango yaani anapokuwa nakuwa na uwazi wa kupita au kuchomoka... upo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…