Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkazi wa Mbweni DSM, Rashid Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la shambulio la aibu ambapo anadaiwa kuchukua sehemu zake za siri na kumpangusia Binti mwenye umri wa miaka 11.
_
Wakili wa Serikali Veronica Mtafya amesema mshtakiwa amefanya shambulio hilo la aibu kwa lengo la kujiridhisha kimapenzi ambapo alitenda kosa hilo tarehe tofauti kati ya Mwaka 2016 na September 13 mwaka huu.
_
Mshtakiwa ameachiwa kwa dhamana na kesi imeahirishwa hadi October 23,2019.
#MillardAyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…