Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2019-10-09-11-45-40.jpg
 
Mkazi wa Mbweni DSM, Rashid Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la shambulio la aibu ambapo anadaiwa kuchukua sehemu zake za siri na kumpangusia Binti mwenye umri wa miaka 11.
_
Wakili wa Serikali Veronica Mtafya amesema mshtakiwa amefanya shambulio hilo la aibu kwa lengo la kujiridhisha kimapenzi ambapo alitenda kosa hilo tarehe tofauti kati ya Mwaka 2016 na September 13 mwaka huu.
_
Mshtakiwa ameachiwa kwa dhamana na kesi imeahirishwa hadi October 23,2019.
#MillardAyo
hilo pia ni shambulio la aibu na bado amepewa dhamana?
nasubiria shambulio la kushtukiza
 
Huyu mzee alikuwa Kadhi Mkuu wa Tanzania kabla na baada ya uhuru.
Wakati huo hakukuwa na BAKWATA, kulikuwa na East African Muslim Walfare Society. ( EAMWS, 1945-1968).
Kutokana na mafundisho yake, serikali ya Tanzania imemfukuza.
Alipofika Kenya siku chache badaye Kadhi wa Kenya alijivua cheo hicho akamuachia yeye.
Inadaiwa alikuwa na elimu ta kutoshaView attachment 1226839
[emoji120][emoji120]
 
Wanawake mjifunze kuwaamini waume zenu.

Kuna wakati Mme wako anaweza kuchelewa sana kurudi nyumbani na akakupa sababu ambayo huwezi kamwe kuiona kwenye kitabu chochote duniani.
Ruhusu upendo na uaminifu vitamalaki.

Fikiria Yona anarudi nyumbani baada ya siku 3 tangu ameondoka, hakupiga simu, hakutuma ujumbe, wala chochote, ila tu akamwambia mkewe kuwa alimezwa na samaki na kutapikwa baada ya siku 3 - hebu tafakari hilo.

Mke wa sasa anaweza na anataka ampasue hata kichwa.
''Ulimezwa na samaki? Hivi unadhani unaongea na mtoto?
Dharau gani hiyo, kunidanganya mie kama sina ubongo? Samaki gani huyo? Sangara au Sato?

Hata kama Yona angemweleza hayo paroko/mchungaji/shehe ni lazima angemwita faragha na kumwambia:-
"kaka Yona kwa nini usisali na kutubu kuhusu dhambi za uongo?".

Majirani wangesema, "mwanamke mwenzetu ujue samaki huyo ni Mwanamke mwenzio tu"

Lakini kati yangu na wewe, tunajua ni kweli Yona alisema ukweli.

[emoji122]basi wanaume waaminiwe tu jamani.[emoji13][emoji23]
Fact bro!!
 
Back
Top Bottom