Kweli maana ilikua mafahali wengi ziziniNdo mana walikua hawampendi wanacheka nae kinafiki tu
Rob kapanic kwakweliHahaha rob hana kifua cha kutunza siri. Anamwaga kila kitu kama mbwai na iwe mbwai hahaha wapenda ubuyu ni kujimung'unyia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..... [emoji119]Ila kivingine ndio inamanisha mtu huyo yupo tayali kutimua kwa sababu mlango yaani anapokuwa nakuwa na uwazi wa kupita au kuchomoka... upo!?
Ila familia ya kina kim sijui inanini hakuna mtu anae dumu kwenye mahusianoKweli maana ilikua mafahali wengi zizini
Toa like upate likesIla huo sijui ni methali au msemo, utakuwa sio wa 'wahenga'. Wenye madeni wanabadili mpaka njia ya kupita sembuse kulala mlango wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23].... Hata kama yumo ndani anaagiza tu akiniulizia mtu mwambie sipo
Nimemuonea huruma kiaina kwa sababu huwa hama makuu kivileeeee.. jana nilikuwa nasubiria insta yake aliandika mpaka duh
Mapenzi hayo
Ndio.Tyga?hahaa maisha haya ni kizungumkuti kwakweli
The cursed of the Kardashians
Kuna kipindi scott alisema ile familia they are cursed wakakataaThe cursed of the Kardashians
Naona leo una promote jiji safi sana
karibu sanaNaona leo una promote jiji safi sana
Asante sanakaribu sana
Mtoto dream mzuri kweli. Rob akimlea basi tutakaona kila siku kwenye kipind chao cha kardashianRob alee tu mtoto wake hamna namna