Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Kumbe ni kama za wabongo tu!!
 
Insta wamemfungia account

Alimpenda sana chyna ila bidada hakuwa na mapenzi nae zaidi ya pesa na umaarufu na kulipa kisasi baada ya kuibiwa mwanaume ampendae na dada wa rob

Nilimewaona kwanza nilishangaa walivyoyaanza, ni ile ya kukaa na kusubirinila sio kuwaombea mabaya hadi itoke kihivi. Malya ni malya tu huyo bidada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…