Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
![]()
Geita: Wafanyabiashara wafunga maduka wakishinikiza mwenzao mgeni kulipa kreti ya soda kama kiingilio
Wafanyabiashara kijiji cha Nyamigana kata ya Kagu wilayani Geita wamefunga maduka yao na kugoma kuendelea na biashara baada ya mfanyabiashara mgeni aliyehamia kijijini hapo kugoma kutoa kreti moja ya soda kama kiingilio. Ofisa mtendaji wa kijiji hicho, Mugwe Sabuni amesema wafanyabiashara hao...www.jamiiforums.com
Dahhh!!!
Nsha watuma vijana waniletee nyagi, sijui wapo mitaa gani?!! View attachment 1228002