Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata hivyo, mambo yalibadilika baada ya mapumziko kwa Argentina kurudi mchezoni na kufanikiwa kupata mabao mawili ya haraka
Duh.. Kumbe hizi mambo ni vyema kuziangalia zikiwa ndani ya nguo tuHalafu wanamcheka vimatako vyake eti vimejaa mabunye yanayoashiria utapiamlo. Wabongo bana du [emoji16][emoji16]
View attachment 1228848
😂😂😂Duh.. Kumbe hizi mambo ni vyema kuziangalia zikiwa ndani ya nguo tu
[emoji16][emoji16] nipo makini nikitaka kukuquote naangalia avatar kwanzaHeheh! Mzee mwenzangu simu alikuanayo yeye
😂😂😂 unazingua[emoji16][emoji16] nipo makini nikitaka kukuquote naangalia avatar kwanza
Halafu huyo dada simfatilii huko intragram ana skendo gani?Umeona tanasha anavyohangaika daah sijui atapita salama stage aliyopo bila uchizi. Si bora akae kimya tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazingua
[emoji2089] [emoji2089]
BaeView attachment 1228957my currently situation [emoji850]
Heshima yako ankooAisee!!!
Hili limbuzi litakuwa na ndude kubwa sana [emoji1][emoji1][emoji1]
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
#achanituliebenchilisijekunihusu
Nilizani naona peke angu daah huyu manzi ana mwandiko Fulani anachoandika hakieleweki hasa kama akiandika habari mwanzo nilijua ni mkenyaLeo umeandika kifupi ndo maana mwandiko wako umeeleweka tofauti na happy ungepata malalamiko ya wadau kuhusu mwandiko wako
Kazingua.. Drake hiyo nafasi ni kubwa kwake hata Wayne pia