Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kachori
mishikaki
bagia za kunde au dengu
chipsi za muhogo
salad
katlesi ziwe za mbatata au mayai.
ongeza na maji ya urojo
pembeni yako una juisi kama una uwezo kama huna tafuta kopo la maji ya chai yasiokuwa na sukari unywe
chapati/ mkate/ maandazi

unakosaje mchanganyiko kama huu?


nyinyi watu wa upande wa pili endeleeni kula sembe mchana kutwa kama mumeishiwa mazao mengine, ndio maana hamuna mapozi munapozungumza.

aisee mutuuu hebu nileteee hilo libaaakuli la daaagaaaa na hiyo sembe tutengeneze chakula pendwa kama biryani.
 
Leo umeandika kifupi ndo maana mwandiko wako umeeleweka tofauti na happy ungepata malalamiko ya wadau kuhusu mwandiko wako
Nilizani naona peke angu daah huyu manzi ana mwandiko Fulani anachoandika hakieleweki hasa kama akiandika habari mwanzo nilijua ni mkenya

Mwengine smaki
Huyu jamaa sjui kiswahili alijifunzia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…