carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]#asantebae
#hizilyricsziposoromantic[emoji8][emoji8]
#getilachinileomapematu
#niisikiesautiyakotamuiliyojaabashasha
#nayenyekuvutiakuisikilizamudawote
Numbisa fanya kunipostia pm kale ka pilau
#watuwanaimbiananyimbo#kwaniKunaNiniLeo?
Future juu ya J Cole hahah!Drake >Nas... Masihara haya
Another new pilau daah poor herView attachment 1228670
Sema hakuna anaeweza kupanga hiyo list vizuri kiasi kwamba akamridhisha kila mmojaKazingua.. Drake hiyo nafasi ni kubwa kwake hata Wayne pia
United wanazingua.Kocha Ole Gunnar Solskjaer yuko kikaangoni baada ya kupata matokeo mabaya msimu huu. Man United ina pointi tisa na ipo nafasi ya 12 katika msimamo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#watuwanaimbiananyimbo
#ilausijaliwataachanatu[emoji23]
Kwamba kila mtu yupo na list yake kichwan, hilo ndio tatzo kubwa,na hii inapelekea malalamiko ya mara kwa mara hasa kwenye tunzo za hip hop za kila mwakaSema hakuna anaeweza kupanga hiyo list vizuri kiasi kwamba akamridhisha kila mmoja
Haha anyway ni kwa mtazamo wakeFuture juu ya J Cole hahah!
Waaah![emoji134][emoji134]Mimi najitahidi sana, kila niendako kama waifu hayupo natafuta mmoja tu wa kuwa nae. Kuwa na wapenzi wengi eneo moja ni matumizi mabaya ya parachichi.
Ukiipata fanya kunitumiaInapatikana bila koneksheni? Natafuta kichocheo
Dave pilau wapi?Hahah!
#Kumbeuliona
Hebu kuja posta mpya kwanza[emoji23][emoji23]Tayari ninayo Anko [emoji23]
MaCategory ya Hip hop yanakuaga magumu mno hivyo kupata ile fairness inakua ngumu piaKwamba kila mtu yupo na list yake kichwan, hilo ndio tatzo kubwa,na hii inapelekea malalamiko ya mara kwa mara hasa kwenye tunzo za hip hop za kila mwaka
Menina daah
Kabadili dini juzi juzi
Kaolewa ndoa mbili moja kamkimbia mumewe nyingine kaachika
Mvujisha picha na video ni mwijaku