Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Am faini carba
We TRM zako wafanyie hao waliosalia kwenye ubrozone na u-friendzone
#menabaekuachanaSahau
#utasubirimeliairport
#sijuinikupepole [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
#naonaunajifariji
#semabaewakohajagunduafoleniiliyopo
#nasemahiviimtaachanatu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
98fe1f5f-69ec-4030-a775-45c7b35c10c1.jpeg
 
Angeandika mwanaume sentensi au nyuzi kama hii angeshambuliwa ila sababu ni wakike basi wote wanajiongelesha...#swagga za kilooser#
 
Marahaba shemeji. Naona TRM umeirudisha full force. Ila angalau kwa sasa haijatulenga Wasukuma. Endelea hivyo hivyo...

#Wataachanalini?
Tumekaa kikao na Mwenyekiti wewe subiria moto tuu😀😀😀.

Wakati wamasai wakitaka watangazaji wasitoroke, fundi alikua msukuma na alipambana kuwarudisha akashindwa akasema redio haitengenezeki😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom