Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Am faini carba
We TRM zako wafanyie hao waliosalia kwenye ubrozone na u-friendzone
#menabaekuachanaSahau
#utasubirimeliairport
#sijuinikupepole [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
#naonaunajifariji
#semabaewakohajagunduafoleniiliyopo
#nasemahiviimtaachanatu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Angeandika mwanaume sentensi au nyuzi kama hii angeshambuliwa ila sababu ni wakike basi wote wanajiongelesha...#swagga za kilooser#
 
Marahaba shemeji. Naona TRM umeirudisha full force. Ila angalau kwa sasa haijatulenga Wasukuma. Endelea hivyo hivyo...

#Wataachanalini?
Tumekaa kikao na Mwenyekiti wewe subiria moto tuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Wakati wamasai wakitaka watangazaji wasitoroke, fundi alikua msukuma na alipambana kuwarudisha akashindwa akasema redio haitengenezekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…