moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kheri kaka ake
Sijui huko
[emoji818][emoji818]
Ukute maelezo (nimeikuta sehemu) yalikuwa kama hayo hapo chiniMchezaji mmoja mwandamizi wa Manchester United aliandaa mlo katika moja ya mgahawa kwa kikosi kizima lakini ni wachezaji watano tu ndio waliokwenda.. (ESPN)
Haya..Manchester United wameafikiana makubaliano ya maongezi ya kumsajili mwezi Januari mshambuliaji wa Croatia na klabu ya Juventus Mario Mandzukic, 33. (Tuttosport, via Mirror)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818][emoji818][emoji818]