carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siri zimeanza kuvuja sasa, aya ndio ukaamlishwa uache nywila sio?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna bali mie mpole balaa
Ndo zipi hizo jiran?Burudani za usiku wa mvua......
Nimemmiss ligi za enzi zile. Siku hizi nimebakia na team domo hata hawajui kuchamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi kulalamika tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuuu
Heheh![emoji23][emoji23][emoji23]
#naonaunanilazimishakuumia
#nasemahiviisiumii
#ilabadonasubirimwishowenu
Mdaka Ubuyu kumbe umeona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#niachebasi
Sawa tuu NumbyNimemmiss ligi za enzi zile. Siku hizi nimebakia na team domo hata hawajui kuchamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi kulalamika tu
Haueleweki wewe.Hamna bali mie mpole balaa
πππMimi nachukulia utani tu ila kama mnakwazika na matani yangu mnasema.
Naiman wewe na ningendako mnanielewa utani wangu ila Depal na The Happiness kama mnaona utani wangu unawakwaza mnasema wapendwa.
Huu uzi umejaa upendo hatupendi kwazana
#nyieendelezenitu
#mimisiumii
#YOLO
#maishandohayahaya
#chèers[emoji482]
Iko siku utapigwa nyuma ya keyboard wewe[emoji23][emoji23]Nimemmiss ligi za enzi zile. Siku hizi nimebakia na team domo hata hawajui kuchamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi kulalamika tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheh!
#Sisitunaimanikuaunaumiasana
#tutazidikukuumizasana
[emoji23][emoji23]Utaniletea kesi ujue, huyo G sio wangu.
Atakua ni wa ningendako
Unataka kufanyaje sasa πππUtaniletea kesi ujue, huyo G sio wangu.
Atakua ni wa ningendako
Sio wangu[emoji23][emoji23]
Baba g naona unamkana g
π[emoji23][emoji23]
Baba g naona unamkana g