Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1562255145434.jpeg
 
Hawa wengine ukifanya mchezo unatupwa kwenye ignore[emoji23][emoji23]
Namuonea wivu bae wake. Wanawake wa aina hii ni nadra sana. Imagine hakuna gubu wala kununiwa. Ukimkorofisha unapewa za uso unaomba msamaha yanaisha unakula mzigo na maisha yanasonga. Siyo hawa mwezi mzima umenuniwa hata kosa hulijui. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom