Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20191011-WA0023.jpeg
 
Kaalùmbu=dada, lugha ya kwetu hiyo.
Ingawa sijui wenyewe mmekusudia nini [emoji2089][emoji2089][emoji2089].
Nimedandia treni ya Tazara law mbele[emoji1787][emoji1787][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Hata katika Kisukuma kalumbu ni dada. Hata miye niliona nikakausha tu.
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Usiwe na hofu bro, sijaona hiyo[emoji2089][emoji2089]
Numbisa binafsi naheshimu maamuzi yako ila kwa hapa uzini sijaona mtu/watu wanaozuia utani n.k kwasababu tuu eti wapo kwenye 'couple'.Na kama itakuja kuwa hivyo hata mimi sitounga mkono tabia ya hivyo.

Hili lingine ni dukuduku tuu natoa nisiache vitu moyoni.Yaani hivyo unavyokataa ndio kama unaniambia niendelee sema ndio hivyo tena [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]

#KamaVipiNitahamiaManU
#KwaniSiMjiMmojaTuuNaCity
 
Back
Top Bottom