Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Team Messi kumbukeni soon Ronaldo anafikisha magoli 700 ndani ya portugal jezi
Hahahahahahahahah

Screenshot_20191011-190111_Chrome.jpg

Screenshot_20191011-185942_Chrome.jpg


Umezielewa hizo data au niongeze sauti?
 
Numbisa binafsi naheshimu maamuzi yako ila kwa hapa uzini sijaona mtu/watu wanaozuia utani n.k kwasababu tuu eti wapo kwenye 'couple'.Na kama itakuja kuwa hivyo hata mimi sitounga mkono tabia ya hivyo.

Hili lingine ni dukuduku tuu natoa nisiache vitu moyoni.Yaani hivyo unavyokataa ndio kama unaniambia niendelee sema ndio hivyo tena 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

#KamaVipiNitahamiaManU
#KwaniSiMjiMmojaTuuNaCity
 
Back
Top Bottom