Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Mvua 😴😴😴
Ngoja niisake aiseehNmeona mahali...tayali imeanza kutoka
Thanks kwa kuniongezea listSeries carba
Hamna nimesaka sijaona labda nirud enzi za ujanani kwakeHivi kuna mwaka ata alishawahi kuingia kwenye ile top3?
Eeeh Kwani ilikuaje kwa Kito, eleza kidogo Binti mpole.Jinsi unavyozidi kukomalia ndo jinsi ntakavyofata nyayo za jakito na ledada and am serious
#ItakuaByeByeUziWaLikes
[emoji23][emoji23][emoji23]mambo yanabadilika haraka mnooHee depal ile maana yetu inakuwaje sasa au imebadilika 'bae'[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajua ila sio kiasi hicho kulia kukosa BallonHamna nimesaka sijaona labda nirud enzi za ujanani kwake
Hivi Ninge yuko wapi? Mvua yote hii upo hapa??Mvua 😴😴😴
Kwema kaka akeSalaam dadake
Ewaaaa asijali kabisaKwani hashua huzijui?
Jiandae kuja kula misosi ya huku uswahilini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carbamazepine atakufundisha kila aina ya chakula cha huku kitaa
Wala hawajapatwa na chochote ila nasema Kama wao wameweza kuishi JF bila uzi wa likes nami pia ntaweza piaEeeh Kwani ilikuaje kwa Kito, eleza kidogo Binti mpole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Imekua vita kati ya kapoz na kapaz
#Pambamasikioni
Hehehee!!Maaana iko vile vile [emoji23][emoji23] ni huyo carba tu ndio ananichanganya hapa
Na anamchukia CR7 vibaya mnosa kisa hizo ballon anaona yeye ana kipaji kumzidi ila anaogopa kumdis messi waziwaziAnajua ila sio kiasi hicho kulia kukosa Ballon
Usitufanyie hivyo aisee.Jinsi unavyozidi kukomalia ndo jinsi ntakavyofata nyayo za jakito na ledada and am serious
#ItakuaByeByeUziWaLikes
😂😂😂Hivi Ninge yuko wapi? Mvua yote hii upo hapa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo yanabadilika haraka mnoo
Wala hawajapatwa na chochote ila nasema Kama wao wameweza kuishi JF bila uzi wa likes nami pia ntaweza pia