Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa binafsi naheshimu maamuzi yako ila kwa hapa uzini sijaona mtu/watu wanaozuia utani n.k kwasababu tuu eti wapo kwenye 'couple'.Na kama itakuja kuwa hivyo hata mimi sitounga mkono tabia ya hivyo.

Hili lingine ni dukuduku tuu natoa nisiache vitu moyoni.Yaani hivyo unavyokataa ndio kama unaniambia niendelee sema ndio hivyo tena 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

#KamaVipiNitahamiaManU
#KwaniSiMjiMmojaTuuNaCity
Jinsi unavyozidi kukomalia ndo jinsi ntakavyofata nyayo za jakito na ledada and am serious

#ItakuaByeByeUziWaLikes
 
Back
Top Bottom