Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huzuia kuzeeka mapema

Kuzeeka mapema? Ndiyo, kutokana na maharage kuwa na kemikali zinazozuia kuchakaa kwa seli za mwili, yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kuzuia kuzeeka mapema.

19. Huboresha afya ya kucha na nywele

Biotin, madini ya chuma pamoja na protini vinavyopatikana kwenye maharage vina nafasi kubwa katika kukupa kucha imara pamoja na nywele zenye afya njema.
 
Poleeeee sana
Na kweli kimeleta utulivu...
Kila mara naomba kwa Mungu, siku yangu ikifika anichukue akanipumzishe nipapendapo mimi... Hizi nyama sijawahi kukinai kuzitafuna,na kama na huko sijui ahera zipo, basi, akanichanganye nazo tu... Huo moto au mateso ya dhambi nitayaona saa ngapi wakati nitakuwa nimezungukwa na misambwanda? Mi itakuwa ni kuzungusha shingo huku na kule ili tu macho yafaidi. Sioni tofauti ya huko "ahera" na hapa duniani, mateso ni haya haya na raha ni hizi hizi...
Eee Mungu, maisha ya huko naomba yakafanane na ya huku nilipo ili nikafaidi starehe za kuuona uumbaji wako kwa wadada walio jaaliwa mizigo nyuma.
 
IMG-20191011-WA0000.jpeg
 
Hahah! Mzee mwenzangu umesugua bench kitambo sana sasa umepata namba tu wamiliki wa timu wanaleta taarifa za kutaka kuivunja timu yao 😂😂😂😂😂

Ila kama ulivyosema bhana ndivyo ilivyo au atakama ikiwa serious no one can stop it, hizi vitu zingine zinahappen tu tena zinakua na nguvu kweli
Ha hah
Eti amesugua Bechi!
Achana na Kina Ester #niwivutu
 
Back
Top Bottom