Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

91cf9c7a-f34a-4d00-ad94-3f559ab6e847.jpeg
 
Manenge na mandawa nawakumbuka wanafunzi wenzangu niliokuwa nao darasa la pili miaka hiyooo, ambao wameshatangulia mbele ya haki.
Mwenyezi Mungu awarehemu
Jana mdau mmoja kwenye group letu la Whatsapp la form six aliweka orodha nzima. Nimehesabu wenzetu 15 wameshatangulia mbele ya haki. Nimesikitika sana. Kumbe hata mimi kubakia mpaka sasa ni mibaraka ya Mungu tu.

Halafu binadamu tulivyo wajinga tukitaka kujilinganisha tunajilinganisha na mmoja au wawili waliofanikiwa sana. Sijui kwa nini hatujilinganishi na hawa wenzetu waliotangulia mbele ya haki. Kufanya hivyo kungetufanya tuone mibaraka ya Mungu kwetu na mipango yake katika maisha yetu.

Mungu na Akatusaidie kwa kweli; na hatimaye tukamkumbuke na kutenda yampendezayo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Maharage ni chakula ambacho watu wengi hukichukulia kama chakula cha hadhi ya chini kisichokuwa na manufaa kiafya. Watu wengi huchukulia vyakula kama vile nyama na samaki kuwa ni vya kitajiri wakati maharage yakichukuliwa kuwa ni chakula cha kimaskini.
 
Back
Top Bottom