Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Itapendeza sana,,, Simba vs Yanga
Weekend ndefuKuelekea weekend
Word.HUU NI UZI WA KUPEANA LIKES SIO SPECIAL KWA AJILI YA COUPLES
MAKAPUKU ILIKUFA HIVI HIVI EXTRA CAREFUL NDUGU ZANGU
Salaam kwenu wahengaView attachment 1229662
Hii ni movie au series?
Ndoa ya mkeka wapi? Kasota kubeba maua, viatu na makreti ya wine huu sijui mwaka wa ngapi. Siyo ndoa ya mkeka hiyo [emoji16][emoji16]
Itabidi ahamie Yanga aisee!
In those good ole days kulikuwa na kamsemo ketu...Weekend ndefu
Na hizi mvua
[emoji846][emoji846][emoji846]
In those good ole days kulikuwa na kamsemo ketu...
Hali ya hewa nzuri kwa kilimo cha ___________
Dah!Aaaa wapi[emoji23][emoji23], labda uje Simba
Na jezi yake tayali iandaliwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine tu wazee wenu jamani. Mtuondoe kwenye hizi kasheshe zenu za kiandaeitini.Naona ni mwendo wa ndoa za mkeka tu humu[emoji23]
Aaaa wapi. Wahenga tunajuana. Mpendwa Hawachi si mhenga.Haha bro....ila ng'ombe hazeeki maini,,atakuwa mhenga kweli