Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kaone !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Bro waambie hawa maandaeitini wahenga watutoe kwenye hizi vurugu zao
Furahini bana. Ni wakati wenu. Mkikua mtaacha [emoji16][emoji16][emoji16]
Kaone !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Bro waambie hawa maandaeitini wahenga watutoe kwenye hizi vurugu zao
Tumbo niache nimuachie mandawa nyama[emoji3][emoji3][emoji3]
Naamini ulikuwa bado hujazaliwaTumbo niache nimuachie mandawa nyama[emoji3][emoji3][emoji3]
Ha hah[emoji23][emoji23][emoji23]
Coco bhana
Naomba niweke taarifa sawa
Mimi na Yegomasika aka mgumu sio kapo
#naombakutolewakwenyelist
Nimeyajuaje sasa haya maneno [emoji3][emoji3][emoji3] hivi mimi unanichukulia poa eeh?Naamini ulikuwa bado hujazaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani jamani lol
Wewe nakuchukulia poa kabisa. Likely 1990s au 2000s. Acha kujihengesha bana [emoji16][emoji16][emoji16]Nimeyajuaje sasa haya maneno [emoji3][emoji3][emoji3] hivi mimi unanichukulia poa eeh?
Wanasema kitendo hicho ni mojawapo ya maajabu makubwa sana hapa duniani...Tumbo niache nimuachie mandawa nyama[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah yaani 2000s hata mimi mwenyewe nilikuwa na uwezo wa kutotoa, nakomenti kama mtoto eeh?Wewe nakuchukulia poa kabisa. Likely 1990s au 2000s. Acha kujihengesha bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1229744