moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ujumbe Murua kwa siku kama hiii[emoji120][emoji120] Mwenyezi Mungu akujaalie hitaji la moyo wako[emoji120][emoji120][emoji120]
Atakae sitili aibu ya binadamu mwenzake basi nae Allah subuhan wa'ataal atamsitili aibu zake..
Tujitahidi kufichiana mapungufu yetu.. Insha Allah
Ijumaa njema!!