Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20191011_151107.jpeg
 
Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah

Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi

Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo

Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU

Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI

Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira


#SautiInatoshaHukooooo

Anonymous Forever
😂😂😂😂😂Numbisa shemela wetu yuko wapi kila mtu ana bae wake humu ukinitoa mimi kizee single mama😀😀😀
 
Back
Top Bottom