Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah

Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi

Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo

Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU

Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI

Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira

#SautiInatoshaHukooooo

Anonymous Forever
Tukifungwa weekend hii narudi tena
 
Unaposali unakua na imani kwa Mungu. Kwahiyo unakua tayari kwa jambo lolote. Kilichopangwa kutokea kitatokea, kama Mungu akipenda. Anajua kilicho chema kwaajili yangu, na hiyo inanipunguzia changamoto nyingi katika maisha yangu ya kila siku.
 
Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah

Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi

Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo

Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU

Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI

Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira

#SautiInatoshaHukooooo

Anonymous Forever
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom