Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahahahaha hatimae yego kafungishwa ndoa ya mkekaaaaaa
Jumaa Kareem Ninge.. Kumbe Uko vizuri eeh?Atakae sitili aibu ya binadamu mwenzake basi nae Allah subuhan wa'ataal atamsitili aibu zake..
Tujitahidi kufichiana mapungufu yetu.. Insha Allah
Ijumaa njema!!
Missed you Fraggie, mdada mwenye mawaidha yake..!Jumaa Kareem Ninge.. Kumbe Uko vizuri eeh?
Dah..Mimi itabidi nijisajili na Moudy tu hamna namna..
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHahahahaha hatimae yego kafungishwa ndoa ya mkekaaaaaa
๐๐Dah..Mimi itabidi nijisajili na Moudy tu hamna namna..
Miss you too Sweet thing! uko poa?Missed you Fraggie, mdada mwenye mawaidha yake..!
Bwana weee! Kazi kwelikweli... ntajifunzaaaa๐๐
Wakishua utaweza kula hashua Temeke?
Ha hahKuna kipindi Bradha alitaka kufanya usajili huko kijiji cha Burigi ila akakuta wenyeji ni wakali kama Simba wao ikabidi asitishe mpango wake
#Wanaumetumeumbwamateso
Ukishindwa wala usipate tabu sana, tuendelee kuchepuka tu.Bwana weee! Kazi kwelikweli... ntajifunzaaaa
Yaani ๐๐๐Siku akipost humu tutaishambulia post yake kwa likes mpaka ife
Niko poa, Hofu kwako D mwenza๐๐๐๐
Vipi lakini D uko poa?
Couple mpya hii.