Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Itabidi ahamie Yanga aisee!Itapendeza sana,,, Simba vs Yanga
Itabidi ahamie Yanga aisee!Itapendeza sana,,, Simba vs Yanga
🙂🙂🙂Fanya hivyo [emoji120][emoji120]
Hahah sawa sawa binti mpole, umeeleweka vyemaSijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah
Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi
Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo
Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU
Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI
Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira
#SautiInatoshaHukooooo
Anonymous Forever
Mi mzima nashukuru Mungu..Siju weye... Nakuona nakuonaaaa.....Hahah asante sana Fraggy... Upo wewe?mzima kabsa?
Na jezi yake tayali iandaliweItabidi ahamie Yanga aisee!
😂😂😂Na jezi yake tayali iandaliwe
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeh.. huyu carba mwaliko asahau
Am good, hope u too!!Mambo bae,, upo salama wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeh.. huyu carba mwaliko asahau
Mimi mzima pia, kila kitu kipo sawa...bhasi fanya kama hujaona vile [emoji2]Mi mzima nashukuru Mungu..Siju weye... Nakuona nakuonaaaa.....