Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

-hakuna kinachotokea bila sababu.

sio kila watu unaowapoteza kwenye maisha yako ni hasara.

Kila mtu mwenye malengo makubwa maishani,kuna wakati utapitia na utaona giza nene mbele yako na nguvu za kuinua mguu kwa hatua inayofuata ni kama hautakuwa nayo kabisa.
 
Nilichojifunza ni kuwa ukifika katika majira hayo,ukifanikiwa kupiga hatua moja italeta tofauti kubwa sana kwenye maisha yako kuliko unavyofikiria.Inakuwa kama vile fursa zilikuwa zinakusibiri uamue kuishinda hali ya kukata tamaa ndani yako ili Milango ifunguke.
 
Kama MAONO yako hayajawahi kukufikisha mahali pa kujiuliza "Niendelee ama niache" basi bado haujaithibitisha.Kila wakati malengo yako yanapoonekana yameshindikana ndio wakati mzuri wa kuithibitishia dunia kuwa ndoto yako ni thabiti na umeamua kuiishi.Malengo hufanikiwa pale nguvu yako ya kuamini inawezekana inapozidi nguvu ya mazingira na watu wanaosema haiwezekani.
 
Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah

Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi

Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo

Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU

Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI

Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira


#SautiInatoshaHukooooo

Anonymous Forever
Nitarudi baadae.

Ila sidhani kama haya mambo yapo srz hivyo.Take it easy sis.
 
255718839076_status_733880a1ab794a929553b441b5857c18.jpg
 
Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah

Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi

Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo

Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU

Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI

Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira


#SautiInatoshaHukooooo

Anonymous Forever
True that.. Yaani mi nataniana na yoyote nnayetaka atakayenuna na anuneeee....
Watamalizana wenyewe chumbani....
 
Back
Top Bottom