myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Haya kama kweli... 😂 😂😂😂😂 nini unacheka?
Ujue ni kweli hiyo
Haya kama kweli... 😂 😂😂😂😂 nini unacheka?
Ujue ni kweli hiyo
Ongeza volyumu please. Nakuaminia rolo modo wangu....[emoji16][emoji16][emoji16]Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah
Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi
Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo
Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU
Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI
Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira
#SautiInatoshaHukooooo
Anonymous Forever
Huyo ndie jirani yangu nimpendae.. hafichi hisia zakeOngeza volyumu please. Nakuaminia rolo modo wangu....[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa uzoefu wangu hapa JF, ukiona binti anajiita kizee/single mother basi jua kuwa the opposite is true. Si ajabu wewe mpendwa Hawachi ni andaeitini kabisa under 25 kama wenzako humu akina Ninge, King, Depal, Esta, Coco na wengineo [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa shemela wetu yuko wapi kila mtu ana bae wake humu ukinitoa mimi kizee single mama[emoji3][emoji3][emoji3]
Na hazoeleki. Ukijilengesha unakula za uso tu we unanuna yeye ndo kwanza anashusha magazeti yake hajali kabisa. Ndo maana nikampa cheo cha urolo modo aisee.Huyo ndie jirani yangu nimpendae.. hafichi hisia zake
Numbisa
Kweli mkuu....Na hazoeleki. Ukijilengesha unakula za uso tu we unanuna yeye ndo kwanza anashusha magazeti yake hajali kabisa. Ndo maana nikampa cheo cha urolo modo aisee.
Tuishie hapa jirani nasi tusije tukaishia kula za uso [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mpendwa unataka nidanganye kitu ambacho siwezi,ukweli ni huu ni mhenga mimi.Kwa uzoefu wangu hapa JF, ukiona binti anajiita kizee/single mother basi jua kuwa the opposite is true. Si ajabu wewe mpendwa Hawachi ni andaeitini kabisa under 25 kama wenzako humu akina Ninge, King, Depal, Esta, Coco na wengineo [emoji16][emoji16]
Haha bro....ila ng'ombe hazeeki maini,,atakuwa mhenga kweliKwa uzoefu wangu hapa JF, ukiona binti anajiita kizee/single mother basi jua kuwa the opposite is true. Si ajabu wewe mpendwa Hawachi ni andaeitini kabisa under 25 kama wenzako humu akina Ninge, King, Depal, Esta, Coco na wengineo [emoji16][emoji16]
#hiiDinamaanishanini?Kikiwa kimoja D ndio kinakua Kingunguti [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] kieneo cha kingunguti
#alooo emu acha bangi D
Eti watamalizana wenyewe chumbani [emoji16][emoji16][emoji16]True that.. Yaani mi nataniana na yoyote nnayetaka atakayenuna na anuneeee....
Watamalizana wenyewe chumbani....
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa hana haja ya kupoteza pesa kununua bia. Safi sana
Hahahahaha hatimae yego kafungishwa ndoa ya mkekaaaaaa
Hii kitu huwa naikwepa hata mimi.Napenda utani woooteee kasoro kulazimishwa couple uwiiiii mnitoe huko. Nipo hapa kula likes tu
Anonymous forever