Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

70758971_144367653555403_7333647009107648986_n.jpg
 
Kama MAONO yako hayajawahi kukufikisha mahali pa kujiuliza "Niendelee ama niache" basi bado haujaithibitisha.Kila wakati malengo yako yanapoonekana yameshindikana ndio wakati mzuri wa kuithibitishia dunia kuwa ndoto yako ni thabiti na umeamua kuiishi.Malengo hufanikiwa pale nguvu yako ya kuamini inawezekana inapozidi nguvu ya mazingira na watu wanaosema haiwezekani.
 
Back
Top Bottom