Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani hawajui? Nahisi wanakaza ubongo tu [emoji23][emoji23]
Numbisa unataka kufanya kama vile ile maana umeisahau.



#Baeumeshindaje?
#MtaachanaTu
#TulishaonaWangapi
#MkikuaMtaacha

[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hahah! Mzee mwenzangu umesugua bench kitambo sana sasa umepata namba tu wamiliki wa timu wanaleta taarifa za kutaka kuivunja timu yao 😂😂😂😂😂

Ila kama ulivyosema bhana ndivyo ilivyo au atakama ikiwa serious no one can stop it, hizi vitu zingine zinahappen tu tena zinakua na nguvu kweli
😂😂😂
 
Hakuna cha usiriazi, ingawa kama mtu anaamua kutoa tunu za taifa zitapokelewa.
Ila hatuwezi kufika mahali tuanze kulumbana eti kisa kiwe warembo wa uzi huu.never
Haitatokea
Ongeza volyumu please. Nakuaminia rolo modo wangu....[emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kwani haya mambo yameshakuwa siriazi kihivyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man U + CR7 + Zarina Hassan + Dar Young African=.......?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahah! Mzee mwenzangu umesugua bench kitambo sana sasa umepata namba tu wamiliki wa timu wanaleta taarifa za kutaka kuivunja timu yao 😂😂😂😂😂

Ila kama ulivyosema bhana ndivyo ilivyo au atakama ikiwa serious no one can stop it, hizi vitu zingine zinahappen tu tena zinakua na nguvu kweli

King huwa hauangushi watu unachapa ukweli tu ndo maana wengine tunakwepa vitu hivi. Nyuzi za 7800 zinatisha
 
Jamani utani wa hapa msiukasirikie.
Maisha hayawezi kwenda bila kutaniana, ingawa kama hupendi kutaniwa wadau wataheshimu matakwa yako[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ndio ndio Moudy.
Huku duniani me matani yalishawai kuniponza nikakoma kabisa 😂

#ilanyumayakeyboardsikomi

Natembelea nyota ya Anonymous Numbisa 😂😂 Anonymous forever au sio!
 
Kama namjua[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwa uzoefu wangu hapa JF, ukiona binti anajiita kizee/single mother basi jua kuwa the opposite is true. Si ajabu wewe mpendwa Hawachi ni andaeitini kabisa under 25 kama wenzako humu akina Ninge, King, Depal, Esta, Coco na wengineo [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom