moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mimi nipo safi, vipi wewe?Mi nakusalimia
Ata sijui kwanini yaani🙊🙊🙊 kwanini?
Tatizo hizi mvua 😁😂😂 acha uvivu
Hiki kimvua kimeleta utulivu wa hali ya hewa ukanda huu wa pwani ya mashariki
Na kweli kimeleta utulivu...
Radha yake ni ya kuisikilizia, inapendeza zaidi kunyonya taratibu... Ni viembe vitamu sana. Umesha wahi kunyonya wewe?Jamani hivi viembe [emoji39] ni mwendo wa kufyoza tu
Aisee!Na kweli kimeleta utulivu...
Kila mara naomba kwa Mungu, siku yangu ikifika anichukue akanipumzishe nipapendapo mimi... Hizi nyama sijawahi kukinai kuzitafuna,na kama na huko sijui ahera zipo, basi, akanichanganye nazo tu... Huo moto au mateso ya dhambi nitayaona saa ngapi wakati nitakuwa nimezungukwa na misambwanda? Mi itakuwa ni kuzungusha shingo huku na kule ili tu macho yafaidi. Sioni tofauti ya huko "ahera" na hapa duniani, mateso ni haya haya na raha ni hizi hizi...
Eee Mungu, maisha ya huko naomba yakafanane na ya huku nilipo ili nikafaidi starehe za kuuona uumbaji wako kwa wadada walio jaaliwa mizigo nyuma.
Kula kwa kisu au Kuvinyonya?[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nimeshatamani,
Ankoo,,, heshima yakoNa kweli kimeleta utulivu...
Kila mara naomba kwa Mungu, siku yangu ikifika anichukue akanipumzishe nipapendapo mimi... Hizi nyama sijawahi kukinai kuzitafuna,na kama na huko sijui ahera zipo, basi, akanichanganye nazo tu... Huo moto au mateso ya dhambi nitayaona saa ngapi wakati nitakuwa nimezungukwa na misambwanda? Mi itakuwa ni kuzungusha shingo huku na kule ili tu macho yafaidi. Sioni tofauti ya huko "ahera" na hapa duniani, mateso ni haya haya na raha ni hizi hizi...
Eee Mungu, maisha ya huko naomba yakafanane na ya huku nilipo ili nikafaidi starehe za kuuona uumbaji wako kwa wadada walio jaaliwa mizigo nyuma.
Vile viembe nimenyonya sana 😅Radha yake ni ya kuisikilizia, inapendeza zaidi kunyonya taratibu... Ni viembe vitamu sana. Umesha wahi kunyonya wewe?
Kihali cha hewa Fulani hivi.....🏃🏃Tatizo hizi mvua 😁
......... AmazingKihali cha hewa Fulani hivi.....🏃🏃