Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Mzee mwenzangu umesugua bench kitambo sana sasa umepata namba tu wamiliki wa timu wanaleta taarifa za kutaka kuivunja timu yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila kama ulivyosema bhana ndivyo ilivyo au hata kama ikiwa serious no one can stop it, hizi vitu zingine zinahappen tu tena zinakua na nguvu kweli
Pliiizii rudia para ya mwisho sijasikia vizuri

Note:you guys msipanic bhana kama ni kweli vizuri na hongereni kama ni drama pia acha tuendelee kuburudika kwani iko nini
 
[emoji485][emoji485]
#walewaliopinduliwamezatukutanenyumayatent
#itsfurahiday
#longweekend
#dontdrinkanddrive
giphy%20(3).gif
 
Pliiizii rudia para ya mwisho sijasikia vizuri

Note:you guys msipanic bhana kama ni kweli vizuri na hongereni kama ni drama pia acha tuendelee kuburudika kwani iko nini
Hapo unasikia vizuri?....

Wakupanic wapo pembeni wanachochea tu kuni ooh!

Note: Wewe ni legend humu ndani unaelewa kila kitu tuendelee kufurahi

#MimiNaYeyeMpakaKiama
 
Back
Top Bottom