Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu huwa anameza watu ama? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
e60e0e98-53f8-4139-ad2b-a211ab15d178.jpeg
 
Makofi[emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi nachukulia utani tu ila kama mnakwazika na matani yangu mnasema.
Naiman wewe na ningendako mnanielewa utani wangu ila Depal na The Happiness kama mnaona utani wangu unawakwaza mnasema wapendwa.
Huu uzi umejaa upendo hatupendi kwazana

#nyieendelezenitu
#mimisiumii
#YOLO
#maishandohayahaya
#chèers[emoji482]
 
Back
Top Bottom