Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi siyo kaka yako mpendwa. Hilo nililikataa mapema sana. Nina dada mmoja tu humu (Kgothalo). Kwani wakitufungisha ndoa ya mkeka kuna madhara yo yote mpendwa.
Shikamoo Kakaangu mpendwa.....usikubali kabisa wakuite Bro nisije nikakosa wifi hivihivi 😀😀. Mimi ndie dadaako pekee humu.
 
Back
Top Bottom