Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1564677594136.jpeg
 
Amin, mi pia nina idadi inayofanana na hiyo.
Kwakweli tumshukuru sana Mungu, maana kutuacha hivi ni makusudi maalum kwetu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Utukufu ni wake Mola wetu
Jana mdau mmoja kwenye group letu la Whatsapp la form six aliweka orodha nzima. Nimehesabu wenzetu 15 wameshatangulia mbele ya haki. Nimesikitika sana. Kumbe hata mimi kubakia mpaka sasa ni mibaraka ya Mungu tu.

Halafu binadamu tulivyo wajinga tukitaka kujilinganisha tunajilinganisha na mmoja au wawili waliofanikiwa sana. Sijui kwa nini hatujilinganishi na hawa wenzetu waliotangulia mbele ya haki. Kufanya hivyo kungetufanya tuone mibaraka ya Mungu kwetu na mipango yake katika maisha yetu.

Mungu na Akatusaidie kwa kweli; na hatimaye tukamkumbuke na kutenda yampendezayo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom