Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heheh! Ata hivyo huku kwenu inapatikana kwa tabu sana
wachache sana wanaokula sembe mara kwa mara.

sembe linapunguza uaminifu mbele ya jamii na aibu ndio maana huko kwenu wengi wenu muna chembe chembe za utapeli na kuwa na maneno mengi kama walevi.
andrew chenge
kuuzwa nyumba za serikali
escrow
rada
trillioni 1.5
ndege ya raisi
ulevi
wahongaji wakubwa wa wanawake na wanaume wako kwenu
picha za utupu zisizokwisha zipo kwenu​
 
Hutawala kiwango cha sukari mwilini

Maharage yana nyuzi nyuzi ambazo hupunguza kiwango cha metaboli cha wanga (carbohydrates) mwilini. Kwa kufanya hivi huwezesha kutawala kuongezeka kwa kiwango cha sukari hasa baada ya kula chakula.

Maharage pia yana protini ambayo husaidia kupunguza kiwango cha sukari mwilini.
 
Back
Top Bottom