Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fain.
Nashukuru kwa ufafanuzi. Naona unapita mulemule.
Shukrani mzee mwenzangu[emoji120][emoji120]
Kalumbu = ndugu wa damu wenye jinsia tofauti kutoka kwenye ngazi (mama, mama mdogo, mama mkubwa, mjomba, baba, baba mkubwa, baba mdogo, shangazi) moja ya uzao.Kikwetu ni utambulisho wa mwanzo unaofuatiwa na maelekezo ya kina. Mfano:- Ilumbu gwake gwake ku nna unnandi = ni kaka/dada kwa mama yake mdogo.
Hapo vipi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hawayuuuuni kapoziii [emoji137][emoji137][emoji137]
Hawayuuuuni wazeiya wa kusubiri anguko.
Hawayuuuuni warembo wote mliobahatika
Hawayuuuuni Jumamosi woootee
 
Back
Top Bottom