Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vikosi vya uokozi vya jeshi la maji Kenya vikishirikiana na wapiga mbizi wa Afrika kusini wakiopoa gari iliyozama Kivukoni Likoni Kombasa nchini Kenya
FB_IMG_1570884738967.jpeg
 
Busu hujenga mapenzi zaidi, huongeza mapenzi ya dhati
Tendo la busu huwafanya wanandoa kuwa katika hali ya umoja zaidi kihisia. Hali hiyo huwaongezea upendo moyoni kwa kuwa tendo hilo huongea zaidi ya maneno na ndio maana wakati wa tendo hilo ukimya hutawala na hisia huongea zaidi.
Ndiooo ndioo[emoji6][emoji2956]
 
Tumia muda vizuri

Hakuna mtu mwenye zaidi ya saa 24 duniani; lakini mwingine muda unamtosha wakati mwingine analalamika muda haumtoshi. Ni wazi kuwa mpangilio au matumizi mabaya ya muda ndiyo husababisha changamoto hii. Wewe kama mjasiriamali ni muhimu ukaondoa mambo yasiyokuwa na ulazima kwenye ratiba yako. Tambua ni kitu gani ni cha muhimu zaidi na ukifanye kwa wakati.
Sahihi kabisa, Nakusalimia binti Mpole.
 
Back
Top Bottom