moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Njia rahisi ni kurusha picha yako ya sasa PieMuni kwangu [emoji16][emoji16][emoji16]Bahati mbaya sina namna ya kukuaminisha, mimi mzima na uwe na siku njema pia
Ndiooo ndioo[emoji6][emoji2956]Busu hujenga mapenzi zaidi, huongeza mapenzi ya dhati
Tendo la busu huwafanya wanandoa kuwa katika hali ya umoja zaidi kihisia. Hali hiyo huwaongezea upendo moyoni kwa kuwa tendo hilo huongea zaidi ya maneno na ndio maana wakati wa tendo hilo ukimya hutawala na hisia huongea zaidi.
Eeh hapo sawaa, GoodboyHeheh!
Naonyesha kwakweli maana Mimi pia napenda vyangu viheshimiwe
Nilipou play nikawa najiuliza nimewahi sikia wapi..? Yah itakuwa kwenye series..!Kweli TH,, wimbo mzuri sana huu tatzo limekuja kwenye views, sema unatumika sana soundtrack za movie/series mbalimbali
Haujambo wewe?
Sahihi kabisa, Nakusalimia binti Mpole.Tumia muda vizuri
Hakuna mtu mwenye zaidi ya saa 24 duniani; lakini mwingine muda unamtosha wakati mwingine analalamika muda haumtoshi. Ni wazi kuwa mpangilio au matumizi mabaya ya muda ndiyo husababisha changamoto hii. Wewe kama mjasiriamali ni muhimu ukaondoa mambo yasiyokuwa na ulazima kwenye ratiba yako. Tambua ni kitu gani ni cha muhimu zaidi na ukifanye kwa wakati.
HahahaAisee! Huo ndio muda wa kupeleka maua kwa wingi according to somo tulilopata hapa jukwaani mimi na Ninge
Naomba samari ya kilichoandikwa humo[emoji124][emoji124]
Poa kaka akeNiaje carba
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Fundi wa nini?
Hii ndo nzuri hiiMkorea, kuna hii hapa yenyewe haisikii Sembe View attachment 1230522
Khaa[emoji23][emoji23][emoji849]Aisee! Huo ndio muda wa kupeleka maua kwa wingi according to somo tulilopata hapa jukwaani mimi na Ninge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naunga mkonk hoja