Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Noma sanagwenchanah gwenchanah
kuna thread ya zamani imeanzishwa ndio imebeba kichwa hicho cha habari.
Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta
Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso, na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga. Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati. Wanaume jipakeni mafuta na makalio...www.jamiiforums.com
Hii post imefanyiwa marekebisho eeh?Aiseee!! Hashtag ya mwisho
Kwanba inakua umeenda kikazi zaidi sio
Hahahahahaha
πππMimi nakiona kama kishurutishi hivi.
Usipokaa vizuri utashangaa kinakua kiunganishi.
Sijambo, mambo?Hujambo
Hahah! Naona unajitengenezea mazingira ya kudaka choziMimi nakiona kama kishurutishi hivi.
Usipokaa vizuri utashangaa kinakua kiunganishi.
Bora hata na wewe umeona.Mimi nakiona kama kishurutishi hivi.
Usipokaa vizuri utashangaa kinakua kiunganishi.
Aiseee!! Hashtag ya mwisho
mtu mweusi asipoyapaka makalio yake mafuta kwa muda mrefu yanakua meusiiiiiii kama makaa ya maweHahah! Noma sana
Kuna mwingine alianzisha unasema Mwanaume kupaka mafuta huko ni Umama
Hhahaha kumbeeHahah! Naona unajitengenezea mazingira ya kudaka chozi
#Utasubirisana
ππππ Dae Leo umekunywa ninimtu mweusi asipoyapaka makalio yake mafuta kwa muda mrefu yanakua meusiiiiiii kama makaa ya mawe
Nikweli ila amani ipo kabisaWasiwasi ndio akili, ohoo
#Sumumuhimu
#ZinachangamshaAkili[emoji23]
Tatizo tiketi ya ndege bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyanda za juu kusini ni moja ya sehemu nzuri ya kula bata.
Wadau humu wanajua hilo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hazina madhara lakiniWasiwasi ndio akili, ohoo
#Sumumuhimu
#ZinachangamshaAkili[emoji23]
nimekunywa fanta kwa mara ya kwanza maishani mwangu ndio maana naropokwa ovyo kama mchawi aliyeanguka na ungoππππ Dae Leo umekunywa nini
suruali kama hizo kwa vyoo vyetu vya uswahilini unaweza kujikuta unakwenda haja kubwa humo humo.
Huku kwema BradhaHili ninalifanyia kazi.
Ahsante Kgothalo, i hope ni kwema pande hizo.