myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani itawale usiku huu
Bro una ngekewa ya kufa mtu. Siri yako ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
#Kunamtuasionehii
😂😂😂😂😂Tena na hivi ameanza kupata wasiwasi, japokua anasema wasiwasi ndio akili ila huu ndio mda mzuri wa kupindua meza.
If he dies he dies....you slap it and watch it vibrate in sloooo mo [emoji16][emoji16][emoji16]Aiseeh
Hahah! Nimecheka sana broFanya kama hukuiona ya mwanzo [emoji23][emoji23]
Angeiona ile ya mwanzo na unavyojua alivyomtata na TRM yake [emoji2][emoji2]Hahah! Nimecheka sana bro
[emoji818][emoji818][emoji818]
Nawe pia Bro....ila hio tabia yako ya kumuita kila binti sis utakwama [emoji3][emoji3]Ok sis, jioni njema.
[emoji818]Muwe wavumilivu, kila kitu kina mwanzo na mipango View attachment 1230786
Hahah! Labda kujumuika na watu vizuri broBro una ngekewa ya kufa mtu. Siri yako ni nini?
[emoji818][emoji818]Husaidia kuiboresha afya yako
Unampombusu mkeo au mmeo kwa moyo wote na hisia zote (hapa tunaongelea deep kiss ‘kula den*a’) unapata faida kubwa kiafya ambao kitaalam tendo hilo huweza kusaidia kukupunguzia maumivu ya kichwa kwa kupumzisha taratibu misuli. Pia kitaalam tendo la busu hukusaidia kuing’arisha ngozi yako kama inavyofanyika kwa mtu anaependa mazoezi. Hivyo basi unapotaka kulala, ni vyema ukambusu kwa hisia mkeo/mmeo upate faida hizi badala ya kumpotezea na kumrukia wakati wa tendo la ndoa.