The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Sawa tuHazina madhara lakini
Tena na hivi ameanza kupata wasiwasi, japokua anasema wasiwasi ndio akili ila huu ndio mda mzuri wa kupindua meza.Hahah! Naona unajitengenezea mazingira ya kudaka chozi
#Utasubirisana
Nafurahi kujua kama amani ipoNikweli ila amani ipo kabisa
#Hahah
ππππnimekunywa fanta kwa mara ya kwanza maishani mwangu ndio maana naropokwa ovyo kama mchawi aliyeanguka na ungo
Fanya kama hukuiona ya mwanzo [emoji23][emoji23]Hii post imefanyiwa marekebisho eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, Mkorea bhanasuruali kama hizo kwa vyoo vyetu vya uswahilini unaweza kujikuta unakwenda haja kubwa humo humo.
haivuki mpaka umwite jirani akusaidie kuivua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyanda za juu kusini ni moja ya sehemu nzuri ya kula bata.
Wadau humu wanajua hilo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ok sis, jioni njema.Huku kwema Bradha
#UliponipoHivi ni kwanini umeona [emoji124]
Tatizo tiketi ya ndege bro
Q Achana nae huyo BradhaBora hata na wewe umeona.
#Mulikamwiziii
ππππmtu mweusi asipoyapaka makalio yake mafuta kwa muda mrefu yanakua meusiiiiiii kama makaa ya mawe
Heheh! Me namuona tuHhahaha kumbee
Hawa yu? Sijui nianze kukuita shemeji. Anyway kwema huko?SHIMBA YA BUYENZE The don [emoji870]