myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji106][emoji106]Kuwa mtatuzi wa matatizo
Ujasiriamali ni zaidi ya kupata pesa, ni lazima kwanza utatue changamoto ya mtu ndipo utaweza kupata pesa kutoka kwa mtu husika. Ni muhimu ukafahamu kanuni hii kama mjasiriamali kwani hutojikita kutafuta pesa bali utajikita kutatua matatizo ya watu.
Kwa mfano kama kuna tatizo la upatikanaji wa mboga katika mji au eneo unalokaa, ikiwa wewe utaleta mboga katika eneo hilo ni wazi kuwa watu watakupa pesa ili uwape mboga. Hivyo ni muhimu kila mara ukatafuta changamoto ukaitatua, nawe bila shaka utapata pesa za uhakika.
“Pesa ni matokeo ya kutatua shida ya mtu”
Wasiwasi wako tuuHeheh! Me namuona tu
#IdoNotSeeThatCuteSmileOfYouYes
#why
#Sidanganyiki
Huyo hiyo ni gear yake tu ya kuingilia [emoji2][emoji2]Nawe pia Bro....ila hio tabia yako ya kumuita kila binti sis utakwama [emoji3][emoji3]
😀😀😀 Sure!Angeiona ile ya mwanzo na unavyojua alivyomtata na TRM yake [emoji2][emoji2]
#hiiKituHiiKituHiiKituHiiiiiiiiii😂😂😂😂😂
Adi wewe?
Marahaba shemeji kipenzi. Kwema huko uliko?Shikamoo shemeji
Bro naona unaanza kuvuruga mipango yangu.Huyo hiyo ni gear yake tu ya kuingilia [emoji2][emoji2]
Nikweli kabisa wasi wasi umeanza tena kwa kasi ya ajabuWasiwasi wako tuu
Sijambo, mambo?
HahahahahahshahNawe pia Bro....ila hio tabia yako ya kumuita kila binti sis utakwama [emoji3][emoji3]
😂😂😂Nawe pia Bro....ila hio tabia yako ya kumuita kila binti sis utakwama [emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2]Bro naona unaanza kuvuruga mipango yangu.
Mwanamapinduzi hajitangazi.Nikweli kabisa wasi wasi umeanza tena kwa kasi ya ajabu
Hahah! Unamtisha hadi Capital kwali?Hahahahahahshah
Naufanyia kazi ile post yako.
Davet, Ninge na Capital wakae vizuri.
Oooh!#Sidanganyiki