carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]Ata amna kitu Queen usiwaze sisi ni Bonnie and Clyde.....
#SumuzaCarbZisikuingie
Sasa kama hujui huyo bae wako ndiye katibu mwandamizi wa TRM na kusema ukweli maua utayapewa 14/02/2020 mama mkiwa pamoja.Hayo maua me siyaoni, naona tu strawberries
#baekashaninunulia
#unadhanisisinikamanyieTRM
#kupeanamauahadiValentine!
#that'smybae[emoji123]Hayo maua me siyaoni, naona tu strawberries
#baekashaninunulia
#unadhanisisinikamanyieTRM
#kupeanamauahadiValentine!
Bhaaaah!!wanawake mukoge kwa siku mara 5 kama samaki
Marahaba sis. Nilikuwa sijaiona hii comment yako nzuri huishi. Nisamehe.Shikamoo Kakaangu mpendwa.....usikubali kabisa wakuite Bro nisije nikakosa wifi hivihivi [emoji3][emoji3]. Mimi ndie dadaako pekee humu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee!! Hashtag ya mwisho
Alooo emu mtag ajibu hapaSasa kama hujui huyo bae wako ndiye katibu mwandamizi wa TRM na kusema ukweli maua utayapewa 14/02/2020 mama mkiwa pamoja.
Me sitakoma Bro donMarahaba sis. Nilikuwa sijaiona hii comment yako nzuri huishi. Nisamehe.
Ndiyo. Wewe ndiye dadangu pekee humu. Wengine wote wanikome. Roho mbaya tu kuzibiana ridhiki bure. Asante sana sis na Mungu Aendelee kukubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
#waachewaachanebhanaMimi nakiona kama kishurutishi hivi.
Usipokaa vizuri utashangaa kinakua kiunganishi.
All in all, all will be good.#achatubradha[emoji124][emoji124][emoji124]
Nimeelewa mdaka chozi[emoji23][emoji23][emoji23]
#mzeebabashtuka
#unachezwa
#ilausijalimabahariawakiketupo
#ntadakachozilako
[emoji125][emoji125][emoji125]
#mwenzionimeshaingiavitaniHili ninalifanyia kazi.
Ahsante Kgothalo, i hope ni kwema pande hizo.
Hayo maua me siyaoni, naona tu strawberries
#baekashaninunulia
#unadhanisisinikamanyieTRM
#kupeanamauahadiValentine!
Naomba original pliziii[emoji23]Hii post imefanyiwa marekebisho eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakukumbusha tuHahah! Naona unajitengenezea mazingira ya kudaka chozi
#Utasubirisana
[emoji23][emoji23]Waaah
Aiseeehmtu mweusi asipoyapaka makalio yake mafuta kwa muda mrefu yanakua meusiiiiiii kama makaa ya mawe
Niliiona bana, wewe endelea kunywa mchuzi, nyama zipo chini π π π π π#waachewaachanebhana
Hujaona hii[emoji116][emoji116]View attachment 1231148