carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huku kwema shem nashukuru MunguMarahaba shemeji kipenzi. Kwema huko uliko?
#WataachanaTu
#Nisualalamudatu
#IdoNotSeeThatCuteSmileOfYou
Hahahaha bro umenichekesha sana... Hayo hayo ya Manyoni bae kayazoea hahaHayo ni maua ya kishua. High class hayo. Inaitwa edible arrangements. Unakuta yamepangwa kitandani vizuri. Mnalishana au unalishwa/unayala huku nawe unaliwa. Anyway, subiri roses au sunflower za kutoka Manyoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
HahahNaomba original pliziii[emoji23]
Ukiona hivyo ujue hao sio masoul-mate.Swali linakuja ni wa nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji hujambo? Are you OK? Unataka maua? Huyo Mnyiramba wako hawezi kukununulia?
View attachment 1231115
Are you among.... Mkuu Davet?Wenyeji wa hizo nyanda humu wapo wapo
[emoji23][emoji23]Sis, Usimsikilize huyo.
Unaweza ukashangaa maua aliyoahidiwa Depal anapewa Th
#paleMasterAnavyozidiwaNaStar
Wewe ngoja mtoto wa watu aje kung'atwa na nyuki 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hahahaha bro umenichekesha sana... Hayo hayo ya Manyoni bae kayazoea haha
Mjumbe hauawi.
Nimeshaacha bro....[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Hahahaha bro umenichekesha sana... Hayo hayo ya Manyoni bae kayazoea haha
Hehhe!Hayo maua me siyaoni, naona tu strawberries
#baekashaninunulia
#unadhanisisinikamanyieTRM
#kupeanamauahadiValentine!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ukashangaa maua aliyoahidiwa Depal anapewa Th
#paleMasterAnavyozidiwaNaStar
[emoji23][emoji23][emoji23]#mwagaSumuM/kiti
AminaMarahaba sis. Nilikuwa sijaiona hii comment yako nzuri huishi. Nisamehe.
Ndiyo. Wewe ndiye dadangu pekee humu. Wengine wote wanikome. Roho mbaya tu kuzibiana ridhiki bure. Asante sana sis na Mungu Aendelee kukubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
#natamaninimwambiekuwaanaibiwa
#funguamachouoneMzee mama niko oves[emoji854]
#Mbonawanitishaa
#ilanambietu