Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
#naonakunamtuanatingishamezahuku
The dooon[emoji119][emoji119][emoji119]

F1A8FAA4-B0CA-411C-B5C8-FBAABD6C0991.gif
 
Marahaba sis. Nilikuwa sijaiona hii comment yako nzuri huishi. Nisamehe.

Ndiyo. Wewe ndiye dadangu pekee humu. Wengine wote wanikome. Roho mbaya tu kuzibiana ridhiki bure. Asante sana sis na Mungu Aendelee kukubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na mimi ni dadayako[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hayo ni maua ya kishua. High class hayo. Inaitwa edible arrangements. Unakuta yamepangwa kitandani vizuri. Mnalishana au unalishwa/unayala huku nawe unaliwa. Anyway, subiri roses au sunflower za kutoka Manyoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahaha!
Nmecheka kwa nguvu hiyo sentensi ya mwisho.
 
Back
Top Bottom