Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahah hashtag [emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba nisubiri sunflower za Manyoni-Singida
Alooo umejua kunichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kwabaehataakiletamajaniyamwarobaini
#kwanguburudani [emoji258][emoji271][emoji260][emoji262]
[emoji23][emoji23][emoji23]
#naonakunamtuanatingishamezahuku
The dooon[emoji119][emoji119][emoji119]
Hahaha kashaingia hadi uankozone? basi kwisha habari yakeAkwame mara ngapi?
Huoni yuko brozone?
Sasa hivi kapigwa unclezone kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama hujui huyo bae wako ndiye katibu mwandamizi wa TRM na kusema ukweli maua utayapewa 14/02/2020 mama mkiwa pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooiiiii#that'smybae[emoji123]View attachment 1231140
Kwa mbali naona vyupi
Na mimi ni dadayako[emoji124][emoji124][emoji124]Marahaba sis. Nilikuwa sijaiona hii comment yako nzuri huishi. Nisamehe.
Ndiyo. Wewe ndiye dadangu pekee humu. Wengine wote wanikome. Roho mbaya tu kuzibiana ridhiki bure. Asante sana sis na Mungu Aendelee kukubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Thanks bradha[emoji120][emoji120][emoji120]All in all, all will be good.
Just don't give up, pambana ya ela yote.
#nakuaminia
#AlutaContinua
HahahaNimeelewa mdaka chozi
Kumbe sumu zote hizo nia yako ni uje kudaka machozi?
#baewanguhadanganyiki
#utasuguabenchi
Mzee mama ushalegea ayaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Carba aone hapa
#thanksbae [emoji8][emoji8]
Hahaha!Hayo ni maua ya kishua. High class hayo. Inaitwa edible arrangements. Unakuta yamepangwa kitandani vizuri. Mnalishana au unalishwa/unayala huku nawe unaliwa. Anyway, subiri roses au sunflower za kutoka Manyoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Aaaa wapi. Tena unikome kabisa shemeji kipenzi. Haya mambo ya udada mpelekee Bradha haya. Au Yego wako huko [emoji16][emoji16]Na mimi ni dadayako[emoji124][emoji124][emoji124]
Jirani[emoji23][emoji23]